Thursday, May 16, 2013

WAJASIRIAMALI WANAWAKE VIZIWI WAANZISHA BIASHARA NDOGO KUJIPATIA KIPATO.

IMG-20130208-00727.jpg


 WANAWANAKE VIZIWI WAONGEZA AJIRA KWA VIJANA. UZAJI WA CHIPS WASHAMIRI WATOA FURSA YA AJIRA KWA VIJANA. FUWAVITA IMEANZISHA BIASHARA NDOGO NDOGO KAMA UZAJI WA CHIPS IKIWA NA LENGO LA KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA NA PIA KUONGEZA KIPATO KWA WANAWAKE VIZIW ILI KUKABILIANA NA HALI NGUMU YA KIMAISHA.

Wednesday, May 15, 2013

WANAWAKE WA FWAVITA WASHIRIKI SEMINA UYA KUDHIBITI MAABUKIZI MAPYA YA VVU/UKIIMW

FUWAVITA KWA KUSHIRIKIANA SHIRIKA LA FOUNATION FOR CIVIL SOCIETY ILIENDESHA MAFUNZO YA UDHIBITI MAAMBUKIZ MAPYA YA VVU/UKIMWI KWA WANAWAKE WA MKOA WA DAR ES SALAAM,AMBAPO KATIKA UFUNGUZI WARSHA HIYO ILIYOFANYIKA TAREHE 25/01/2012 MGENI RASMI  ALIKUWA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH: SAID MACK SADICKY PIA WASHIRIKI WAPATAO 40 KUTOKA KATA ZA TEGETE,BUNJU,MBAGALA.CHANIKA,WAZO HILL KATI YAO WAPO WENYE VVU NA WASIO NA VUU.

WANAWAKE WA FUWAVITA WAKIPATA SEMINA ELEKEZI

WANAWAKE WA FUWAVITA  WAKIPATA  SEMINA ELEKEZI JUU YA UJASILIAMALI KATIKA UKUMBI WA VIJANA CENTAR KIJITONYAMA . KWELI WANAWAKE WAKIWEZESHWA WANAWEZA.

WANAWAKE WAJIKOMBOA KIUCHUMI FUWAVITA KIJITONYAMA WILAYA YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM






wanawake wa fuwavita kijitonyama ambao wamejipanga  kujikomboa kiuchumi kwa usindikaji wa vyakula vya asili .katika kukuza uchumi wa taifa pamoja na uchumi binafsi , wanawake hawa wenye ulemavu wa kusikiai wamejitoa kwa hali na mali kuji komboa kiuchumi kwa kujifunza na kuweka mipango mikakati ya ujasiliamali kwalengo la kuingiza kipato katika familia zao